Alioui wa Morocco aiua Ivory Coast: Congo waibuka vinara wa kundi C, AFCON 2017 - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Wednesday, January 25, 2017

Alioui wa Morocco aiua Ivory Coast: Congo waibuka vinara wa kundi C, AFCON 2017


Goli kali la Rachid Alioui wa timu ya Morocco limeweza kuizamisha timu ya Ivory Coast kwa bao moja kwa bila na kuifanya Morocco kufuzu hatua ya robo fainali huku Ivory Coast ikiishia hatua ya makundi kwa kua na alama 2 katika nafasi ya 3.


Congo yapata ushindi wa mabao 3 - 1 dhidi ya Togo. Hii imeifanya timu ya taifa ya Congo kuibuka vinara wa kundi C wakiwa na jumla ya alama 7. Soka la Congo kila mwaka linachipua vizuri kwa namna hii miaka mingine mbeleni watakua mbali zaidi kama watazidi kuwekeza zaidi katika soka.

Post a Comment