Asamoah Gyan aisambalatisha Mali AFCON 2017 - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Saturday, January 21, 2017

Asamoah Gyan aisambalatisha Mali AFCON 2017


Ghana wazidi kuwa vinara wa kundi D baada ya kupata ponti tatu zingine baada ya ushindi wa bao 1 - 0 dhidi ya Mali.
Goli pekee la Asamoah limeipa timu ya Ghana ushindi katika mpambano wake wa leo dhidi ya Mali.

Ghana inaongoza kundi ikiwa na ponti 6. Imecheza michezo miwili na imeshinda miwili.kwa urefu zaidi unaweza angalia hapa chini mchezo wa Ghana VS Mali.

Post a Comment