Manchester United yatinga fainali ya EFL CUP - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Friday, January 27, 2017

Manchester United yatinga fainali ya EFL CUP


Katika mchezo wa EFL Cup,  Hull City walikua wakicheza na Manchester United na kuweza kuwatoa jasho kwa mabao 2 - 1. Huku goli lakufutia machozi la Man U limewekwa nyavuni na Pogba.
Man U hawajafungwa toka mwezi Novemba mwaka jana ile rekodi hii imevunjwa leo na Hull City.

Man U wafuzu kuingia hatua ya Fainali ya kombe la EFL jumla ya magoli (2 - 3) mechi ya awali Man U walishinda 2 - 0 dhidi ya Hull City.

Angalia hapa uone jinsi magoli yalipachikwa nyavuni


Post a Comment