Ramos wa kipindi cha kwanza aibeba Real Madrid - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Saturday, January 21, 2017

Ramos wa kipindi cha kwanza aibeba Real Madrid


Real Madrid iliweza kutengeneza nafasi nyingi sana kupitia kwa washambuliaji wake Benzema na Ronaldo ila bahati yakufunga haikua kwao. Umakini wa Ramos umemfanya kufunga magoli mawili katika kipindi cha kwanza, baada ya matatizo ya goli lakujifunga sasa ameweza ifungia Real magoli mawili na kufanikisha kuipa alama mbili.
Real Madrid inakua na tofauti ya alama 6 na mpinzani wake mkuu Barcelona.

Tazama hapa mechi kwa ufupi.

Post a Comment