Video za magoli ya Senegal na Tunisia zikitinga robo fainali AFCON 2017 - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Tuesday, January 24, 2017

Video za magoli ya Senegal na Tunisia zikitinga robo fainali AFCON 2017


Zimbabwe 2 - 4 Tunisia. Kwa matokeo haya yanaifanya Tunisia kusonga mbele kwa hatua inayofuata huku wakishika namba mbili katika kundi B. Zimbabwe wamemaliza wakiwa katika nafasi ya nne/ ya wisho wakiwa wamecheza michezo mitatu na kupata ponti 1.


Sernegal wameiondoa Algeria katika mashindano ya AFCON 2017 baada ya kuka sare ya mabao  2 - 2. Huku Senegal wamemaliza vinara wa kundi B baada ya kukusanya ponti 7 na Algeria shika nafasi ya tatu huku wakiwa na ponti 2.

Post a Comment