BIG MATCH: Falcao aisambaratisha NICE - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Sunday, February 5, 2017

BIG MATCH: Falcao aisambaratisha NICE


Hii iliua ni mchezo kati ya Monaco vs Nice ambao wote wawili walikua na pointi sawa; ila Monaco alikua anaongoza ligi kwakua na magoli mengi yakufunga.

Hawa wababe wawili wa ligi ya Ufaransa walikutana kukipiga pamoja ambapo Monaco imeweza kuibuka na ushindi wa mabao 3 - 0. Huku mshambuliaji mahiri Falcao akifunga magoli mawili na Germaina kafunga goli moja.

Monaco sasa inaongoza ligi kwa kua na tofauti ya pointi 3 ikifuatiwa na PSG na NICE wakiwa na jumla ya pointi 49.

Tazama magoli hapa

Post a Comment