Burkina Faso ndio mshindi wa tatu wa AFCON 2017 - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Sunday, February 5, 2017

Burkina Faso ndio mshindi wa tatu wa AFCON 2017


Mchezo wa kutafuta mshindi watatu wa mashindano ya AFCON 2017 ulipigwa siku ya jumamosi tarehe 4 kati ya Burkina Faso vs Ghana .
Burkina Faso iliweza kuibuka mshindi wa tatu baada ya kupata ushindi wa bao 1 - 0 dhidi ya Ghana katika muda wa lala salama.

Traole ndo ameibeba Burkina Faso baada ya kupiga mpira adhabu uliowekwa nje kidogo ya box kwa pembeni na kuweza kuuweka nyavuni.

TAZAMA MCHEZO HAPA


Post a Comment