Cameroon yatinga fainali ya AFCON 2017 - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Friday, February 3, 2017

Cameroon yatinga fainali ya AFCON 2017


Mchezo wa nusu fainali wa kombe la AFCON 2017 uliopigwa tarehe 2/ 2 kati ya Cameroon vs Ghana. Timu ya Cameroon imeonesha soka zuri na lakuvutia huku wengi wakiwatabili mazuri ya kuibuka bingwa wa kombe la AFCON 2017.

Mchezo umemalizika kwa timu ya Cameroon kupata ushindi wa mabao 2 - 0 dhidi ya Ghana. Magoli ya Cameroon yamefungwa na Michael Ngadeu pamoja na Christian Bassagog

Mechi ya fainali itaikutanisha miamba miwili, timu ya taifa ya Misri na timu ya taifa ya Cameroon. Fainali itachezwa siku ya jumapili.

Tazama hapa magoli yalivyopachikwa kwa ustadi mkubwa.


Post a Comment