Hawa ndio vidume anaowazimia Irene Uwoya - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Saturday, February 11, 2017

Hawa ndio vidume anaowazimia Irene Uwoya


Irene Uwoya ni  mwanadada ambaye yupo katika tasnia ya filamu ya Tanzania. Kwa sasa amesema yuko katika maandalizi ya tamthilia yake inayokwenda kwa jina la DRAMA QUEEN, ambaye yeye ndio muhusika mkuu. Haya yote ameweka wazi alipokua akihojiwa na Clouds Tv katika kipindi cha Shirawadu.
Katika hali isiyo ya kawaida mwanadada alibananishwa vilivyo na watangazaji wa kipindi cha Shirawadu kutaja wanaume watano ambao anawazimia. Kwa kua Irene Uwoya aliweka wazi kua anawapenda wanaume wenye sura ngumu/ wanaume wa kazi ndipo aliposhusha majina yao kama ifuatavyo;

5. Fid Q

4. Juma Nyoso

3. Adam Mchomvu

2. Kala Pina

1. Mh. Nape Nauye
Post a Comment