Hii ndio picha iliyopata like nyingi Instagram kwa siku moja - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Friday, February 3, 2017

Hii ndio picha iliyopata like nyingi Instagram kwa siku moja


Tazama picha ambayo imeweza kupata umaarufu mkubwa sana katika kurasa ya Instagram kwa muda wa siku moja.

Imepata like zaidi ya milioni 8 na comment zaidi ya laki 4.

Mpaka sasa imekaa kwa muda wa siku moja.

Hii ni picha inayomuonesha mwanadada maarufu duniani kwa kazi yake ya muziki pia ni mke wa rapa Jay Z; Anaitwa Beyonce. Hii ndio picha inamuonesha akiwa na ujauzito wa watoto mapacha ambao dunia inataji kuwapokea.

Hizi ni baadhi ya picha alizozitoa hadharani zikimuonesha mwanadada Beyonce kua ni mjamzito
Post a Comment