Messi na Suarez waisambaratisha Atletico Madrid - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Thursday, February 2, 2017

Messi na Suarez waisambaratisha Atletico Madrid


Mchezo wa  kombe la mfalme la Hispania umepigwa kati ya Atletico Madrid vs Barcelona ikiwa ni hatua ya nusu fainali ya mechi ya kwanza, mchezo wa marudiano utachezwa siku ya jumanne ya wiki ijayo katika uwana wa Camp Nou. Barcelona imeweza kuibuka na ushindi wa mabao 1 - 2 dhidi ya Atletico Madrid. Mabao ya Barcelona yamefungwa na Suarez  goli la kwanza na Lionel Messi goli la pili. Goli la kufutia machozi la Atletico Madrid limefungwa na Antonio Grezman.

Suarez ameweza kufunga magoli 11 katika mechi mbali mbali kutokana na mashuti yaliyolenga goli 16. Inaonesha yupo katika kiwango kizuri.


Post a Comment