Picha: Diamond Platnumz Adondosha 'Marry Me' Kwa Staili Hii. - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Thursday, February 2, 2017

Picha: Diamond Platnumz Adondosha 'Marry Me' Kwa Staili Hii.


Hii inaweza kuwa ni ishara ya mambo mazuri zaidi yajayo kutoka kwa Diamond Platnumz.

Msanii Diamond Platnumz ( @diamondplatnumz ) ame share picha ya gari aina ya Rolls Royce ikiwa na plate namba ikiyoandikwa 'SIMBA' katika page yake ya Instagram ikiwa na ujumbe ''Only if you #MaryMe!😊...'' . Kama unavyojua leo ndio siku ambayo video ya wimbo wake aliyomshirikisha msanii kutoka marekani @neyo #MarryYou ndio imetoka rasmi kupitia Trace TV. Je hii ni gari yake maana inafahamika wazi kuwa ndio aina ya gari anayoizimia zaidi Diamond au kitu gani kinafuata ? Kaa nasi @bongoswaggz kila time upate stori kibao kuhusu mastaa unaowapenda.
Post a Comment