Rihanna kutokea katika ukurasa wa mbele wa jarida; mwezi machi 2017 - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Thursday, February 9, 2017

Rihanna kutokea katika ukurasa wa mbele wa jarida; mwezi machi 2017


Tazama picha zote za Rihanna ambazo zitakua katika maadhimisho ya 150 ya jarida la Harper's ambalo litaachiwa mwezi machi 2017.

Harper's Bazaar wameweka wazi kua mwanadada Rihanna atakua katika ukurasa wa mbele wa jarida linalokuja la mwezi machi 2017.

Rihanna aliweza kuweka wazi katika ukurasa wake wa Instagram, akiwa anaonekana juu ya bawa la ndege ndogo angani hii ni katika picha alizopiga katika hili jarida.


Post a Comment