Tazama magoli: Man U & Man City zapata ushindi ligi kuu ya Uingereza - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Monday, February 6, 2017

Tazama magoli: Man U & Man City zapata ushindi ligi kuu ya Uingereza


Manchester City imepata ushindi wa bao 2 - 1 dhidi ya Swansea City. Magoli yote mawili ya Man City yamefungwa na Gabriel Jesus na goli la kufutia machozi la Swansea City limefungwa na Gylfi.

Tazama hapa mchezo kwa ufupi jinsi ulivyokua


Man United imeibuka na ushindi mnono wa mabao 0 - 3 dhidi ya Leicester City. Magoli ya Man U yamefungwa na Mkhitaryan, Zlatan na Mata. Huku Rashford akiwa hana bahati yakufunga kwa leo baada ya kukosa magoli huku kipa wa Leicester akiwa anayadaka mashuti yake..


Post a Comment