Tigo wafanya usafi mkoani Morogoro - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Monday, February 6, 2017

Tigo wafanya usafi mkoani Morogoro

 Meneja wa mauzo -  Tigo mkoa wa morogoro, Abbas Abdulrahman(aliyeshika fagio mbele kushoto)  akishiriki zoezi la usafi na wafanyakazi wa tigo sambamba na wa Redio Africa swahili fm  katika eneo la stendi ndogo ya daladala  mkoani Morogoro juzi.


Wafanyakazi wa Tigo Morogoro na wafanyakazi wa Redio Africa swahili fm wakishiriki katika usafi wa pamoja kwenye stendi ndogo ya daladala mkoani Morogoro juzi.

Post a Comment