PICHA: Kamanda Sirro Aapishwa Rasmi Kuwa IGP Mpya - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Monday, May 29, 2017

PICHA: Kamanda Sirro Aapishwa Rasmi Kuwa IGP Mpya


Rais John Magufuli amemuapisha mkuu mpya wa Jeshi la Polisi nchini, Simon Sirro aliyeteuliwa jana kuchukua nafasi ya Ernest Mangu.

Hafla hiyo imehudhuliwa na viongozi mbalimbali akiwemo Makamu wa Rais, Samia Suluhu, Waziri wa Mambo ya Ndani , Mwigulu Nchemba na makamishna mbalimbali wa jeshi hilo.
 
Sirro baada ya kuapishwa amekula kiapo cha maadili mbele ya Rais Magufuli kwa ajili ya kutekeleza majukumu yake mapya.Advertisement
Post a Comment