Jiji la Arusha yatumia Tehama kuboresha utoaji wa huduma kwa umma - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Friday, June 23, 2017

Jiji la Arusha yatumia Tehama kuboresha utoaji wa huduma kwa umma

Je unajua jinsi TEHAMA inavyoboresha utendaji kazi na utoaji wa huduma kwa umma katika Jiji la Arusha. Usikose kuangalia kipindi hiki uone jinsi ambavyo TEHAMA imesaidia kuboresha utendaji kazi wa Jiji la Arusha

Post a Comment