PICHA WAZIRI MKUU AKITEMBELEA BANDA LA TIGO DODOMA LEO - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

.

.

Thursday, June 29, 2017

PICHA WAZIRI MKUU AKITEMBELEA BANDA LA TIGO DODOMA LEO

Meneja wa Tigo Mkoa wa Dodoma Gidion Morris akimpa maelezo Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa alipotembelea banda la kampuni ya simu ya Tigo kwenye maonyesho ya kupiga vita matumizi ya dawa za kulevya uwanja wa Nyerere Square mjini Dodoma leo.Meneja wa Tigo Mkoa wa Dodoma Gidion Morris akiagana na Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa alipotembelea banda la kampuni ya simu ya Tigo kwenye maonyesho ya kupiga vita matumizi ya dawa za kulevya uwanja wa Nyerere Square mjini Dodoma leo.

Post a Comment