Vigezo vya kupewa kitambulisho cha Uraia - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Sunday, June 25, 2017

Vigezo vya kupewa kitambulisho cha UraiaSeeBaitWizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imewatangazia wananchi wote wakazi wa Dar es salaam kuwa watapatiwa ofa maalum ya vitambulisho vya uraia siku ya maonyesho ya sababa ya 41 yanayotarajiwa kufanyikia katika viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini DSM.
Aidha,taarifa hiyo imeeleza kwamba usajili huo utafanyikia kwenye banda la NIDA kuanzia tarehe 28 Juni hadi Julai 10 mwaka huu. ==>Taarifa ya NIDA 

Post a Comment