RAIS MAGUFULI AMPOKEA NKURUNZINZA NGARA - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Thursday, July 20, 2017

RAIS MAGUFULI AMPOKEA NKURUNZINZA NGARA


Rais John Pombe Magufuli ampokea Rais wa Burudi, Pierre Nkurunzinza leo asubuhi mkoani Kagera aliyekuja kwa izara ya siku moja ya maongezi kati yao. Nkurunzinza alipokelewa kwa risasi za mizinga 21 na kupata nafasi ya kukaguwa gwaride la Jeshi la Wananchi mjini Ngara. Rais Magufuli na rais Nkurunzinz wanatarajiwa kulihutubia taifa baada ya mkutano wao. HT: @thecitizen


Post a Comment