Juma nature Ft Cannibal - KIDARUSO - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Wednesday, March 30, 2016

Juma nature Ft Cannibal - KIDARUSO


Ikiwa ni siku chache tu tangu Juma Nature "Kiroboto" atokee kwenye mitandao ya kijamii akisema kuwa yeye ndiye mshindani wa Diamond Platnumz na si Alikiba, sasa ameamua kuja na kitu kipya akimshirikisha msanii kutoka Kenya, Cannibal inayokwenda kwa jina la Kidaruso. Itazame hapo chini

No comments: