Ni Harmonizer akimshirikisha Koredebello kutoka Mavins mzee wa Godwin na Mungo Park - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Saturday, May 28, 2016

Ni Harmonizer akimshirikisha Koredebello kutoka Mavins mzee wa Godwin na Mungo Park

Kupitia ukurasa wa instagram msanii Diamond platnumz ameweka screenshot inayoonyesha furaha yake juu ya kolabo ya msanii kutoka Wasafi akimshirikisha msanii kutoka Mavins records, Koredebello.
Platnumz aliandika maneno haya "Natamani Mngepata walau sekunde 3 tu kuskiliza Ngoma Mpya ya @Harmonize_tz alomshirikisha Mr Romantic, wenyewe wanamwita GODWIN @koredebello tokea the Marvins Nigeria.... Moja ya ngoma zinazotawala kwenye Repeat ya playlist yangu kwa sasa....#BongoflavourTotheWorld"

No comments: