Chris Brown aomba kurudiana na mpenzi wake wazamani - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Wednesday, December 28, 2016

Chris Brown aomba kurudiana na mpenzi wake wazamani

Na hii sio mara yake ya kwanza kwa Chris Brown kuweka hadharani jina la  mpenzi wake wazamani. Alisha taja jina lake hadharani katika wimbo ambao alimshirikisha Usher na Zayn katika remix ya wimbo wa Back To Sleep mapema mwaka huu.
Chris Brown aliimba "You want me to say your name girl/ Ok, Karrueche," (Unapenda nitaje jina lako, OK, Karrueche).

Chris Brown anataka vitu vya zamani virudi tena. Siku ya jumatatu ya tarehe 26, Karrueche aliweka picha yake katika ukurasa wa Instagram akiwa amekaa katika kitanda chake huku akiambatanisha na neno la "BABY".
Chris alipo iona hiyo picha aliweka naye maneno yake akisema "I still want it" akaambatanisha na vimacho.

Na hii sio mara yake ya kwanza kwa Chris Brown kuweka hadharani jina la  mpenzi wake wazamani. Alisha taja jina lake hadharani katika wimbo ambao alimshirikisha Usher na Zayn katika remix ya wimbo wa Back To Sleep mapema mwaka huu.
Chris Brown aliimba "You want me to say your name girl/ Ok, Karrueche," (Unapenda nitaje jina lako, OK, Karrueche).

A photo posted by The Shade Room (@theshaderoom) on

Loading...

No comments: