Drake atua rasmi kwa J LO - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Wednesday, December 28, 2016

Drake atua rasmi kwa J LO


Masaa machache yaliyopita mwanadada Jlo ameweka picha ambayo inawaonesha kua yupo katika uhusiano wa kimapenzi na Rapa wa Young Money. Picha imemuonesha mwanadada Jlo akiwa amekumbatiwa vizuri na rapa wa Toronto, Drake.

Hii inazidi weka wazi uhusiano wao mpya na kuonesha utafika mpaka mwaka 2017.


A photo posted by Jennifer Lopez (@jlo) on

A photo posted by Jennifer Lopez (@jlo) on


Loading...

No comments: