Fifth Harmony watakacho kifanya baada ya Camila kujitoa - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Tuesday, December 20, 2016

Fifth Harmony watakacho kifanya baada ya Camila kujitoa


Baada ya taarifa zilizo sambaa kwenyemitandao kwa muda wa masaa 24 yaliyopita, kuwa mmoja kati ya wanadada 5 wanaounda kundi la Fifth Harmony kujitoa katoka kundi hilo. Camila ndio mwanadada aliyejitoa katika kundi hilo ni kutokana na msemaji wake kuweka wazi.

Baada ya hizi taarifa wanadada wanakundi waliobaki wanne ambao ni Ally Brooke, Dinah Jane Hansen, Luren Jauregui na Normani Kordei wameandika barua ndefu kwenye ukurasa wao kuelezea yaliyotokea. Fifty Harmony kutoa wimbo wakuelezea njinsi alivyojitoa Camila kwaujumla na mambo mambo mengine, ukitoka utaukuta hapa  hapa.

Isome hapa


Katikati ya mwezi novemba, meneja wa mwanadada Camilla aliwaambia wanakundi kua mteja wake anakaribia kujitoa katika kundi hilo. Katika muda wa usiku wa jumapili wa tamasha la Jingle Ball walipata taarifa nyingine kuwa mwanadada mwenzao Camila ndio mara ya mwisho kua katika kundi hilo.

Huyu ndiye Camila
Loading...

No comments: