Hakuna bifu tena: Hii ndio love ya Ronaldo kwa Messi - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Wednesday, December 21, 2016

Hakuna bifu tena: Hii ndio love ya Ronaldo kwa Messi


Miamba miwili ya soka yenye tamaa ya mafanikio kisoka kila kukicha. Ushindani wao unaonesha kuwa ni mahasimu wakubwa kama ambavyo klabu zao zikikutana katika mashindano yoyote yale jinsi zinavyopambana na kukabiliana kuzidi kupata ushindi na mafanikio zaidi.

Hii picha imerudi kwa mashabiki wa Messi na Ronaldo kwakuwalinganisha uwezo wao na ubora kisoka na kupelekea anayemkubali mmoja wapo basi anamchukia mwingine hapa ndio mafanikio yao yanapoonekana na kujituma zaidi na zaidi.

Katika tukio lakushangaza Ronaldo anamwambia mtoto wake aende akamsalimie Lionel Messi. Hapa utajua kua kunamaisha baada ya soka na ushindani wao ni changamoto yakupata mafanikio zaidi.

Angalia video hapa chini uone ilivyokua.

Loading...

No comments: