Haya ndio magari 10 ya kifahari anayomiliki Aubameyang - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Friday, December 30, 2016

Haya ndio magari 10 ya kifahari anayomiliki Aubameyang


Mchezaji Pierre-Emerick Aubameyang anajisikia furaha kucheza soka la kulipwa Ujerumani katika klabu ya Borussia Dortmund. Rangi za klabu yake zinapatikana hadi kwenye gari lake Porsche Cayenne na TechArt Magnum bodykit. Magari ya Pierre yanagundulika kupitia namba zake zilivyoandikwa DO - klabu yake ya Dortmund; PE - inatoka kwenye jina lake na 17 inawakilisha namba yake ya jezi uwanjani.
Anamiliki  Aston Martin DB9 Volante 2, Gold Lamborghini, Audio R8 V10 Plus, Porsche Panamera  Mansory C One, Lamborghini Gallardo LP560-4, Ferarri 488 Spider, Audi R8 2013, Ferrari 458 Italia, Porsche Cayenne Techart Magnum 2011 na Volkswagen Beetle Cabriolet.

Tazama hapa
Loading...

No comments: