Huyu Ndiye Mshindi Wa Taji la Miss World 2016 (Picha) - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Tuesday, December 20, 2016

Huyu Ndiye Mshindi Wa Taji la Miss World 2016 (Picha)Mrembo wa Puerto Rico, Stephanie Del Valle ameibuka mshindi wa shindano la Miss World 2016.
Shindano la kumsaka Miss World 2016 limefanyika Jumapili 18/12/2016 jijini Washington DC, Marekani.
Mrembo huyo ana umri wa miaka 19 na amewashinda warembo wengine kutoka nchi 116 duniani kote. Anakuwa Miss World wa 66. Mshindi wa pili ni Yaritza Miguelina Reyes Ramirez wa Dominican na wa tatu ni Natasha Mannuela, wa Indonesia.


Loading...

No comments: