Malkia wa urembo wa Afrika atoka kenya - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Tuesday, December 20, 2016

Malkia wa urembo wa Afrika atoka kenya


Mshiriki wa mashindano ya mrembo wa dunia kutoka Kenya, mwanadada Evelyn Njambi Thungu ameweza kufika hatua ya tano bora ya mrembo wa dunia wa mwaka 2016 yaliyofanyika nchini Marekani.

Zaidi ya mataifa 100 yalipeleka wawakilishi wao katika shindano la mrembo wa dunia.

Baada ya kuingia kwenye hatua ya tano bora ya mrembo wa dunia, mwanadada mrembo Njambi ndio akaibuka kuandiye mshindi wa malkia wa urembo wa Afrika 2016.

Loading...

No comments: