Mwanamziki nguli wa POP wa Uingereza afariki dunia - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Tuesday, December 27, 2016

Mwanamziki nguli wa POP wa Uingereza afariki dunia


Miaka saba iliyopita (mwaka 2009) marehemu alitoa wimbo ulioitwa Careless Whisper ambao umefikisha watazamaji milioni 162,322,335. Amejizolea umaarufu mkubwa miaka ya 1990 kwa aina ya muziki aliokua akiufanya wa aina ya POP. Kama unakumbukumbu nzuri mfalme wa pop ni Hayati Michael Jackson.


George Michael alikua mwimbaji, muandishi wa nyimbo na pia mtayarishaji wa nyimbo, amefaliki kwa sababu ya moyo kushindwa kufanya kazi. Amefariki akiwa na miaka 53.


Loading...

No comments: