NAS ataja majina ya marapa anaowakubali katika hiki kizazi cha sasa - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Friday, December 30, 2016

NAS ataja majina ya marapa anaowakubali katika hiki kizazi cha sasa


Mkali wa miondoko ya kuchana, mkongwe Nas katika miaka kumi iliyopita akiwa staa alikubali na kusema HIP HOP imekufa (Hip Hop Is Dead)   lakini mziki wa Hip Hop upo hai na unaendelea vizuri.

Nas akiwa katika Revolt TV siku ya tarehe 25 katika kipindi cha "Music Talks" aliulizwa swali na mwongozaji Andre Harrell, ataje orodha ya wasanii anao wakubali katika hiki kizazi kipya.


Hata hivyo Nas aliorodhesha majina bila kutolea maelezo, kuwa nia J. Cole, Kendrick Lamar, Drake, Lil Wayne na Rick Ross; kwa mfuatano.


Loading...

No comments: