New music: P Square Ft Gee Jay - Bank Alert REMIX - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Tuesday, December 27, 2016

New music: P Square Ft Gee Jay - Bank Alert REMIX


Gee Jay ni mwanadada anayeimba nyimbo za dini kwa namnayake kwakuzirudia nyimbo za waimbaji maarufu katika tasnia ya muziki.

Gee Jay baada ya kuimba wimbo wa Bank Alert kwenye Facebook kwa aina yake yakipekee; Baada ya P Sqaure kuona wakavutiwa nayo na kuingia studio kufanya naye nyimbo hiyo kwa mara ya pili.


Loading...

No comments: