Picha Darasa apata ajali ya gari - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Sunday, December 18, 2016

Picha Darasa apata ajali ya gari


Darasa amepata ajali leo mchana na haijaweka wazi ni mahali gani. Ila hali yao ipo shwari wamtoka salama na mambo yanaendelea ya show zingine kama kawaida. Kwenye gari walikuwepo Darasa,  Aba, Hanscana na wengine katika timu ya CMG.

Picha ya gari aliyopanda darasa na ujumbe wake alioweka katika ukurasa wake wa instagram

Loading...

No comments: