Real Madrid yaendelea vizuri klabu bingwa - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Thursday, December 15, 2016

Real Madrid yaendelea vizuri klabu bingwa


Mashindano ya klabu bingwa ya dunia, leo tarehe 15 disemba kulikua na mechi kati ya wenyeji CF America vs Real Madrid. Real Madrid imetinga hatua ya Nusu Fainali.
Mchezo umemalizika kwa Real Madrid kutoka kifua mbele kwa mabao 0 - 2.
Goli la kwanza limefungwa na Karim Benzema dakika ya 45.
Goli la pili limefungwa na Cristiano Ronaldo dakika ya 90.

Loading...

No comments: