Sadio Mane aibeba Liverpool muda wa lala salama - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Tuesday, December 20, 2016

Sadio Mane aibeba Liverpool muda wa lala salama


Angalia video kwa ufupi ya mechi ya Everton vs Liverpool. Mchezo umemalizika kwa Liverpool kupata ushindi wa bao 0 - 1; Liverpool imepanda mpaka nafasi ya pili ya msimamo wa ligi kuu ya Uingereza ikiwa na alama 37, ikiwa imezidiwa alama 6 na vinala wa ligi klabu ya Chelsea. Goli la pekee limefungwa na Sadio Mane katika dakika za lala salama, dakika ya 94, baada ya shuti la Daniel Sturridge kugonga mwamba nakurudi ndani.

Loading...

No comments: