Tazama Arda Turan akipiga kamba zake tatu katika ushindi mnono wa Barcelona - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Thursday, December 22, 2016

Tazama Arda Turan akipiga kamba zake tatu katika ushindi mnono wa Barcelona

Barcelona imepata ushindi wa mabao 7 - 0 dhidi ya Hercules katika mashindano ya kombe la mfalme; Huku Arda Turan akipika hat-trick , magoli dakika ya 55, 86 na 89.
Tazama video hapa kuona magoli yalivo wekwa kambani.

Loading...

No comments: