Tazama kionjo cha movie mpya ya Jackie Chan - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Saturday, December 31, 2016

Tazama kionjo cha movie mpya ya Jackie Chan


Movie inaitwa Kung-Fu Yoga, ndani yake kuna ngumi pamoja na comedy. Movie imetengenezwa kwa ushirikiano wa kampuni ya China na India, Taihe Entertainment na Shinework Media China. Mastaa waliongoza humo ni Jachie Chan, Amyra Dastur, Disha Patani, Aarif Rahman na Sonu Sood.

Imeongozwa na Stanley Tong. Muhusika mkuu ni Jackie Chan. Bajeti yake imetumia dola za kimarekani milioni 65.
Filamu itaachiwa China 28 Januari 2017.

Loading...

No comments: