Tazama kionjo cha movie ya Blade Runner 2049 - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Monday, December 19, 2016

Tazama kionjo cha movie ya Blade Runner 2049

Movie toka Marekani imeongozwa na Denis Villeneuve, imetayarishwa Ridley Scott na  pia imeandikwa na Hampton Fancher na Michael Green.  Ni muendelezo wa movie ya Blade Runner. Itatoka oktoba 6 ya mwaka 2017.
Wahusika wakuu ni Harrison Ford, Ryan Gosling na Ana de Armas

Loading...

No comments: