TIGO YAWAPIGA "TAFU" KITUO CHA MSAMARIA MWEMA FOUNDATION MKOANI KILIMANJARO - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Friday, December 23, 2016

TIGO YAWAPIGA "TAFU" KITUO CHA MSAMARIA MWEMA FOUNDATION MKOANI KILIMANJARO

Meneja wa Kampuni ya Mawasiliano  TIGO Kanda ya Kaskazini Hendri Kinabo Kulia,akimkabidhi treyi la mayai ya kuangulia vifaranga kama sehemu ya msaada kwa Mwenyekiti wa kituo cha Msamaria Mwema Foundation, Folkward Mapunda (kushoto),Hafla hiyo ilifanyika jana kituoni hapo.msaada huu unathamani ya milioni 7.9Meneja wa Kampuni ya Mawasiliano Tigo Kanda ya Kaskazini,Hendri Kinabo Kulia akimkabidhi mfuko wa chakula cha kuku mwenyekiti wa Kituo cha Msamaria Mwema Foundation Kilichopo Rau Manispaa ya Moshi ,Folkward Mapunda huku wa wafanyakazi wa Tigo wakishuhudia tukio hilo lilifanyika jana kituo hapo.Meneja wa Kampuni ya Mawasiliano Tigo Kanda ya Kaskazini, Hendri Kinabo (kulia) akimkabidhi mashine ya kuangulia vifaranga mwenyekiti wa Kituo cha Msamaria Mwema Foundation Kilichopo Rau Manispaa ya Moshi ,Folkward Mapunda huku wa wafanyakazi wa Tigo wakishuhudia tukio hilo lilifanyika jana kituo hapo.

Loading...

No comments: