Video: Juventus yatolewa Super Cup ya Italia na AC Millan - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Saturday, December 24, 2016

Video: Juventus yatolewa Super Cup ya Italia na AC Millan

Golikipa wa Juventus leo ni mechi yake ya 600 akiwa na klabu ya Juventus.
Juventus imepata kichapo cha jumla ya magoli 4 - 5. Hii ni baada ya dakika 120 kumalizika kwa sare ya bao 1 - 1. Baadae mwamuzi akaamulu penati kupigwa hapo Juventus wakapata 3 - 4 AC Milan. Huku Dybala baada ya kukosa penati ya 5.
Tazama magoli hapa yalivyokua

Loading...

No comments: