Zlatan & Higuan wazidi kung'ara - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Sunday, December 18, 2016

Zlatan & Higuan wazidi kung'ara


Mechi kati ya Juventus vs Roma imemalizika kwa timu ya Juventus kupata ushindi wa bao 1 - 0. Goli hilo la pekee limefungwa na Higuain dakika ya 14, pasi ya mwisho amepewa na Sami Khedira. Higuain kwa sasa yupo kwenye kiwango bora.


Zlatan amefunga magoli mawili katika mechi ya West Brom vs Manchester United wakati pasi za mwisho na Lingard katika goli la kwanza; Wayne Rooney kwa goli la pili. Man U imepata ushindi wa magoli 2 - 0. Zlatan anazidi kuonesha uwezo wake wa hali ya juu akiwa na kikosi cha Man United.

Loading...

No comments: