Atletico na Real Madrid zapata ushindi mechi za ligi kuu ya Hispania - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Saturday, January 7, 2017

Atletico na Real Madrid zapata ushindi mechi za ligi kuu ya Hispania


Real Madrid yapata ushindi wa mabao 5 - 0. Isco kafunga 2, Ronaldo 1, Benzema 1 na Casemiro 1.
Tazama hapa


Atletico Madrid nao wamepata ushindi wa mabao 0 - 2. Grazeman kafunga goli 1.Loading...

No comments: