Barcelona yakubali kichapo toka kwa Atletico Bilbao - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Friday, January 6, 2017

Barcelona yakubali kichapo toka kwa Atletico Bilbao


Mechi ya kombe la mfalme kati ya Januari 5, 2017 kati ya Atletico Madrid na Barcelona imemalizika huku wachezaji wawili wa Atletico Bilbao wakiwa wametolewa nje kwa kadi nyekundu; Raul Garcia dakika ya 74 na Ander Iturraspe dakika ya 80.

Barcelona kukubali kichapo cha magoli 2 kwa 1 toka kwa Atletico Bilbao.

Magoli ya yote ya  Atletico Bilbao yamefungwa kipindi cha kwanza, dakika ya 24 na Aduriz. La pili limefungwa dakika ya 28 na Inaki Williams. Goli lakufutia machozi la Barcelona limefungwa na Lionel Messi katika dakika ya 52.


Loading...

No comments: