Cameroon yaichapa D.R. Congo; Tazama video - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Friday, January 6, 2017

Cameroon yaichapa D.R. Congo; Tazama video


Katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki uliopigwa hapo tarehe 5 Januari 2017. Umezikutanisha timu ya taifa ya Cameroun na D.R. Congo.

Cameroon imepata ushindi mnono wa mabao 2 - 0 dhidi ya Congo. Mabao ya Cameroon yamefungwa na Ambroise Oyongo dakika ya 54 na Christian Bassogog dakika ya 66.

Tazama magoli hapa


Loading...

No comments: