Liverpool yafunga mwaka kwa ushindi; Tazama magoli - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Sunday, January 1, 2017

Liverpool yafunga mwaka kwa ushindi; Tazama magoli


Liverpool imeibuka kidedea mbele ya Manchester City kwa ushindi wa bao 1 - 0. Liverpool katika msimamao inajumla ya alama 43 ikiwa namba 2 wakati Man City inaalama 39 ikishika namba 3.
Chelsea imezidi kuonesha ubabe wake baada ya kuifunga Stoke City 4 - 2. Hii inaiweka Chelsea kwenye rekodi ya kushinda michezo 13 mfululizo ya ligi.


Manchester United ikapata nayo ushindi wa mabao 2 - 1 dhidi ya Middlesbrough

Loading...

No comments: