Magoli: Arsenal & Tottenham zaanza mwaka vizuri - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Sunday, January 1, 2017

Magoli: Arsenal & Tottenham zaanza mwaka vizuri


Arsenal imeifunga Crystal Palace goli 2 - 0 ; msimamo wa ligi Arsenal imeshika nafasi ya 3 ikiwa na jumla ya alama 40.Watford imekubali kipigo kutoka kwa Tottenham cha mabao 1 - 4, Kane kapiga 2 na Dele katupia 2. Tottenham imeshika namba 4 katika msimamo wa ligi kuu huku ikiizidi Man City kwa magoli yakufunga 23 wakati Man City wana 18.


Loading...

No comments: