Marekani Yaanza kula Sambamba na Mtoto wa Osama Bin Laden - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Friday, January 6, 2017

Marekani Yaanza kula Sambamba na Mtoto wa Osama Bin LadenMarekani imemtangaza Hamza mtoto wa Osama ktk orodha ya Magaidi. Azuiwa kufanya biashara na wamarekani na mali zake kutaifishwa.

Aidha kiongozi mkuu wa usalama wa kundi la Al Qaeda, Ibrahim al-Banna ametajwa katika orodha hiyo pia. Marekani itatoa ofa ya dola Million tano kwa atakayesadia kukamatwa kwa al-Banna.
Loading...

No comments: