Monaco yashika usukani wa ligi kuu ya Ufaransa - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Monday, January 16, 2017

Monaco yashika usukani wa ligi kuu ya Ufaransa


Timu ya Nice ambao ni vinara wa ligi ya Ufaransa hapo awali katika mchezo wa jana dhidi ya Metz ambapo waliapata matokeo ya sare ya 0 - 0 na kufanya Nice kuwa na jumla ya alama 45 na magoli yakufunga 34.

Mchezo wa Marseille na Monaco ulimalizika kwa timu ya Monaco kujipatia ushindi mnono wa jumla ya magoli 1 - 4. Huu ushindi umefanya Monaco wamekua na jumla ya 45 ambayo ni sawa na ya Nice ila wanaidadi ya magoli 60 yakufunga. Kwa kuwa na magoli mengi yakufunga imeipa nafasi Monaco kuungoza ligi kuu ya Ufaransa.

Tazama hapa kwa ufupi mchezo wa Marseille VS Monaco.

Loading...

No comments: