NEW MUSIC: DMX FEAT. SWIZZ BEATZ – ‘BANE IS BACK’ - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Friday, January 13, 2017

NEW MUSIC: DMX FEAT. SWIZZ BEATZ – ‘BANE IS BACK’

Mkali wa miondoko ya Rap, producer na muigizaji DMX ambaye alikua kimya kwa muda mrefu sana, baada ya kupata umaarufu mkubwa sana miaka ya 2000. Sasa amerudi akiwa pamoja na producer na rapa pia anaitwa Swizz Beatz. Sikiliza kazi mpya ya DMX hapa uone jinsi gani DMX ameanza na mwaka 2017.


Loading...

No comments: