NEW VIDEO: MIGOS – T-SHIRT - MWANAHARAKATI MZALENDO ™

Breaking

Saturday, January 7, 2017

NEW VIDEO: MIGOS – T-SHIRT


Migos wapo njiani kuachia albam yao ya nne inayoitwa C U L T U R E. Albam yao itatoka tarehe 27 Januari 2017, ndani waloshirikishwa kuna 2 Chainz, DJ Khaled na wengine. Ambapo wameachia hii video yao mpya wakiwa katika barafu katika kipindi cha baridi kali.

Loading...

No comments: